Rais
Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na Mshauri Mkuu wa
Kijeshi wa Umoja wa Mataifa Luteni Generali Babacar Gaye baada ya
kuonana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 4, 2013.Kushoto
Mbele ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe
Mahadhi Juma Maalim, akifuatiwa na Mkuu wa Majeshi Tanzania Jenerali
Davis Mwamunyange, na wa pili kulia ni Balozi wa Kudumu wa Tanzania
katika Umoja wa Mataifa Balozi Tuvako Manongi na wengine ni maafisa
waandamizi katika JWTZ na Umoja wa mataifa.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mshauri Mkuu wa Kijeshi wa
Umoja wa Mataifa Luteni Generali Babacar Gaye baada ya kuonana naye
Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 4, 2013.Kushoto Mbele ni Naibu
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Mahadhi Mahadhi
Juma Maalim, akifuatiwa na Mkuu wa Majeshi Tanzania Jenerali Davis
Mwamunyange, na wa pili kulia ni Balozi wa Kudumu wa Tanzania katika
Umoja wa Mataifa Balozi Tuvako Manongi na wengine ni maafisa waandamizi
katika JWTZ na Umoja wa mataifa.
0 comments:
Post a Comment