Wito umetolewa kwa wananchi mbalimbali hapa nchi kushiriki
katika michezo mbalimbali pamoja na mazoezi ya viungo ili kupunguza magonjwa
mbalimbali yanayowakumba.
Hayo yamebainishwa na mkuu wa wilaya ya hai Novatus Makunga wakati alipokuwa akingoea katika bonanza la siku ya familia la wafanyakazi wa mamlaka ya anga mkoani kilimanjaro.
Alisema kuwa kila mwananchi anatakiwa kushiriki katika michezo mbalimbali pamoja na kufanya mazoezi ili kuweza kupunguza magonjwa mbalimbali yanayoweza kutokea kama vile kisukari na presha .
''unajua tukishiriki katika michezo mbalimbali tunaweza kupunguza hata magonjwa yasioyolazima yanayotokea kama vile kisukari na pia mazoezi yanasaidia mambo mengi ikiwemo kukujenga kisaikolojia ,kuwa na afya bora na pia mazoezi na michezo pia yanaongeza uahai ''Alisema makunga
Alinainisha kuwa pia kushiriki bonanza hili unasaidia kukutanisha watu mbalimbali kushiriki katika michezo ambapo ndani ya michezo hii wanabadilishana mawazo pamoja na kufahamiana zaidi uku akiwasihi bonanza hili la wafanyakazi wa usafiri wa anga liwe endelevu lisiishie hapa.
kwa upande wake meneja wa usafiri wa anga mkoa wa katika kiwanja cha kia Sizon Peter Kinuti alisema kuwa bonanza hili limeshirikisha wafanya kazi wa mamlaka ya usafiri wa anga ambapo walishiriki katika michezo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kukimbiza kuku kuruka kamba, kukimbia na magunia,mpira wa miguu,mpira wa pete pamoja na mazoezi ya gym ambayo yalifanyika asubuhi kabla ya shughuli hizi kuanza.
Naye muhandisi wa uwanja wa ndege wa Kia Ernest Fungameza Ngongolwa alisema kuwa katika michezo hii wamefuhai kwani imewakutanisha familia mbalimbali za wafanya kazi na pia wamecheza michezo mbalimbali ambayo walikuwa hawajaicheza kipindi kirefu.
''kwali tumefurahi kwani familia zetu zimeweza kukutana na kufahamiana na pia tumefanya mambo mengi tumeshiriki michezo mingi ,tumeburudika tumekula na kunywa hivyo siku hii kweli ni nzuri na tumeifurahia''alisema ngongolwa
Alitoa wito kwa wananchi mbalimbali wadau mbalimbali,wafanyakazi mbali kujijengea tabia ya kushiriki michezo pamoja na mazoezi ili kuweza kuweka miiili yao katika hali nzuri kwani michezo ni afya micheozo pia ni ajira huku akiwasihi wazazi kuwashawishi watoto wao kupenda michezo

0 comments:
Post a Comment