Wasafiri
mbalimbali waliokuwa wakisafiri na gari Moshi kupitia Reli ya Kati kuelekea
Mikoa ya Tabora, Mpanda, Mwanza na Kigoma wakijipatia mahitaji yao mbalimbali
ya chakula katika stesheni ya Saranda Mkoani Singida leo. Miongoni mwa wasafiri
hao ni Sekretarieti ya CCM inayoelekea Mkoani Kigoma.
0 comments:
Post a Comment