Mwakilishi
wa NHIF na CHF Lindi Fortunata Kullaya akitoa elimu na uhamasishaji
kwa wanachuo wa chuo cha ualimu Nachingwea kufahamu umuhimu wa kujiunga
na Mfuko.
mratibu wa
NHIF/CHF Abinery Mkanya kwa chuo cha ualimu Nachingwea akiwasilisha
majina ya wanachama waliojiunga papo kwa papo kwenye meza ya uratibu
wakati wa zoezi la uhamasishaji.
Mratibu wa
CHF Wilaya ya Nachingwea Masiah Nyoni akifafanua maswali yaliyoulizwa
kutoka kwa washiriki wa mafunzo ya elimu ya NHIF na Mifuko ya Afya ya
Jamii (CHF) ambao ni wanachuo wa chuo cha ualimu Nachingwea (NTTC).
Fursa
ya kuuliza maswali na kutoa maoni yanayohusu changamoto na maboresho
katika NHIF na CHF yalitolewa,pichani ni Ally Ngilima mwanachuo wa mwaka
wa kwanza chuo cha ualimu Nachingwea akitoa maoni.
Veronika
Luanda akipewa maelekezo na mwakilishi wa NHIF Lindi Fortunata Kullaya
wakati wa utekelezaji wa mpango wa elimu kwa wanachama wa
NHIF,uliofanyika kwenye chuo cha Uuguzi Nachingwea (NTC).
0 comments:
Post a Comment