Meneja wa Taasisi isiyokuwa ya
kiserikali Communty Development Initiative Professinals (CDIP) Bi:Joyce
Josephat .(kushoto) akimkabidhi Afisa maendeleo ya jamii wilaya ya bagamoyo
baiskeli 80 zenye dhamani ya shilingi milioni 11 kwa ajili ya wailimishaji rika
wanaopambana vitendo vya unyanyasaji kwa maambukizi ya ukimwi kwenye kata kumi
16 za wilaya hiyo makabidhiano hayo yalifanyika katika shule ya Msingi Lugoba Mkoani
Pwani.
Baadhi ya wailimishaji rika wanaopambana vitendo
vya unyanyasaji kwa maambukizi ya ukimwi wakizichukua baiskeli hizo mara baada
ya kukabidhiwa kwaajili ya kwenda kukusanyia maoni kwenye kata zao Wilaya ya Bagamoyo
Mkurugenzi mkuu wa (CDIP) Dr,Jeremia
Makula akiwasisitizia jambo wailimishaji rika mara baada ya kukabidhiwa
baiskeli hizo.
Wailimishaji rika wanaopambana vitendo vya
unyanyasaji kwa maambukizi ya ukimwi kwa wanawake na watoto wakiwa darani.
0 comments:
Post a Comment