ILIKUWA ni siku ya furaha sana
kwa Bwana Liberatus Oforo Machui na Bi Gilian Lewis Kaaya baada ya kuamua
kufunga ndoa takatifu katika Kanisa la Kilutheri (KKKT) Usharika wa Sinza
jijini Dar es Salaam, Novemba 4, 2012 na baade kufuatiwa na tafrija ya aina yake
katika ukumbi wa New Mawela Social Hall Sinza.Picha zote na MD Digital Company: +255 755 373999/+255 717002303 DSM
Liberatus Machui akimvisha pete mkewe Gilian Kaaya kama ishara na alama ya ndoa yao takatifu.
Maharusi wakionesha kwa waumini na wageni mbalimbali walio hudhuria Ndoa yao katika Kanisa la KKKT Usharika wa Sinza jijini Dar es Salaam shahada zao za ndoa.
Maharusi na wasimamizi wao wa
ndoa wakiwa katika picha ya pamoja huku wakiwa na furaha juu ya muungano wao
kati ya Bwana harusi Liberatus Oforo
Machui na Bi Gilian Lewis Kaaya baada ya kuamua kufunga ndoa takatifu katika
Kanisa la Kilutheri (KKKT) Usharika wa Sinza jijini Dar es Salaam, Novemba 4,
2012 na baade kufuatiwa na tafrija ya aina yake katika ukumbi wa New Mawela
Social Hall Sinza. Kulia ni Msimazi Mrs Veronica Milinga na kushoto ni Bwana
Humphrey Milinga.
Maharusi wakiwa katika eneo la upoigaji picha maalum kwaajili ya kumbukumbu ya ndoa yao.
Maharusi wakilishana keki kwa staili kuonesha upendo na wao sasa ni mwili mmoja.
Kamati ya maandalizi ikipokea zawadi ya keki kama ishara ya shukrani kutoka kwa maharusi kwa kuwaandalia tafrija nzuri.
Maharusi na wasimamizi wao wakipiga picha na warembo na watanashati waliowapambia harusi yao.
Maharusi Bwana Liberatus Oforo
Machui na Bi Gilian Lewis Kaaya na wasimamizi wao Msimazi Mrs Veronica Milinga na kushoto ni Bwana
Humphrey Milinga wakiwa meza kuukatika ukumbi wa New Mawela
Social Hall Sinza. Kulia ni
Wageni mbalimbali waalikwa ndugu jamaa na marifiki wal;ijumuika katia burudani ya mziki kuwapongeza maharusi. Picha zote na MD Digital Company: +255 755 373999/+255 717002303 DSM
0 comments:
Post a Comment