Nafasi Ya Matangazo

October 15, 2012


Kambi ya makapera katika Kituo cha Televisheni cha ITV jijini Dar es Salaam imepata pigo baada ya Katibu Muktasi wake Rehema Salim kuamua kufunga pingu za Maisha na Bw. Shaaban Khosla. Hafla ya kukata na shoka ya ndoa hiyo ilifanyika usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Picoolo Beach jijini Dar es Salaam. Biharusi Rehema ni Mtangazaji na Mwandishi wa siku nyingi wa ITV/Redio One.
Maharusi na Wapambe wao wakiwa ni wenye furaha na bashasha tele.
Posted by MROKI On Monday, October 15, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo