LEO ni siku ya kuzaliwa
kwa Miss Tanzania 2011, Salha Izraeli. Mrembo huyu kutoka Kanda ya Ilala
aliyenyakua taji la Vodacom Miss Tanzania mwaka 2011 leo anatimiza miaka
kadhaa. Wadau wa FATHER KIDEVU BLOG na wadau
wote wa tasnia ya Urembo nchini wanamtakia kila la Heri katika maisha yake na
Mungu ambariki na amjalie Hekima zaidi na busara katika siku zote ampazo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Happy birthday mupenz ya Assa na kati ya tegeta Ununio!!ww ni mrembo ila hiyo lace wig siipend ..I wanna see ur natural hair..u r too cute,na ki pua chako cha kisomali
ReplyDelete