Nafasi Ya Matangazo

October 14, 2012

Mrembo kutoka Mkoa wa Mara na Miss Kanda ya Ziwa 2012, Eugene Fabian usiku wa kuamkia leo alitwaa taji la Ubalozi wa Hotel ya Naura Spring ya jijini Arusha. Egene alitangazwa kunyakua taji hilo usiku wa kuamkia leo wakati wa shindano dogo la Redds Miss Tanzania 2012 la kumsaka Top Model ambaye pia ataingia katika hatua ya 15 bora ya Shindano hilo la taifa la Miss Tanzania. Awali taji la Balozi wa Naura Spring Hotel lilikuwa likishikiliwa na Neema Joel.


Posted by MROKI On Sunday, October 14, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo