Nafasi Ya Matangazo

September 25, 2012

 Kundi kubwa la vijana waliojitokeza katika Usaili wa MAISHA PLUUS 2012 wakiwa wamemzunguka mwaandaaji wa shindano hilo kubwa hapa nchini linalowapa fursa washiriki kukaa kambini kwa pamoja na kujifunza maisha ya aina mbalimbali ikiwa na kujitegemea na kuishi vyema na watu. hapa ilikuwa ni Kijitonyama jijini Dar es Salaam.
majaji wakiendelea na Usaili huo....
Posted by MROKI On Tuesday, September 25, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo