Nafasi Ya Matangazo

September 21, 2012

Msanii chipukizi kupitia zoezi zima Serengeti Fiesta 2012 Supa Nyota kutoka mkoani Mbeya aitwaye Neey Lee akiwaimbisha mashabiki wake waliojitokeza kwa wingi usiku huu kwenye tamasha la Serengeti Fiesta linaloendelea hivi sasa ndani ya uwanja wa Sokoine.
 Mmoja wa wasanii chipukizi ndani ya Mbeya akikamua vilivyo usiku huu mbele ya washabiki wake waliojitokeza kwa wingi ndani ya uwanja wa Sokoine mkoani Mbeya.
 Ni Shangwe tu ndani ya uwanja wa Sokoine.
 Wakazi wa Mbeya wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye Fiesta usiku huu.
 Wakazi wa Mbeya na vitongoji vyake wakishangweka vilivyo ndani ya uwanja wa sokoine usiku huu
Mmoja wa Ma-Mc na pia ni mtangazaji wa Clouds FM,Adam Mchomvu akitaka kulianzisha usiku huu kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2012 ndani ya uwanja wa Sokoine mkoani Mbeya.
Posted by MROKI On Friday, September 21, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo