Salaam,
Father Kidevu
tafadhali tusaidie sisi wanafunzi wa Mwaka wa kwabnza tuliochaguliwa kujiunga
na Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ambao hadi leo hatujapata Admission Letters
zetu hadi hii leo na Baadhi tunatakiwa tuzitumie hizo kuombea ruhusa makazini
hasa wafanyakazi wa Serikali, je tunafanyaje na UDOM waliweka tangazo hili hapa
chini wiki ya ya pili na zaidi sasa.
Tunashangaa
barua hazitoki ilhali TCU wao wamesha toa majina ya watakao jiunga hapo na hata
Bodi ya Mikopo nayo imetoa majina.
Tunaomba
tupatiwe barua zetu maana Chuo karibia kinafunguliwa kwa sisi wa 1st
year.
Admission Letters For First Year Students for
Academic Year 2012/2013
|
Announcement to All first year
Students for Acadmic Year 2012/2013
Be Informed that If your Name Do not appear on the
List of Selected Students Published on UDOM website, you will not be able to
Download your Admission Letter. For Second batch and Equivalent Students the
list of Selected Students will be publised at Mid the Next Week.
For those who their Names Appears on the List, The
admission Letters are Downloaded on the following Link, Please make sure you
Read the Instructions.
NAWASILISHA
|
0 comments:
Post a Comment