Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Bw.Steve Gannon (kushoto) akitekja maji katika mradi wa maji uliodhaminiwa na kampuni ya bia ya Serengeti katika hospitali ya Temeke jijini Dar es Salaam leo kulia nia mkuu wa wilaya ya Temeke bi Sophia Mjema.
Mkurugenzi Mtendaji SBL, Steve Gannon (kushoto) na mkuu wa wilaya ya Temeke Bi Sophia Mjema (kulia ) wakizindua rasmi mradi wa maji wenye hifadhi wa zaidi ya lita 40000 kwa wakati mmoja ulidhaminiwa na kampuni ya bia ya Serengeti. Wengine ni wafanya kazi na wageni waalikwa katika hospitali ya temeke.Mkurugenzi mtendaji wa SBL. Teve Gannon akimtwish ndoo ya maji mkuu wa wilaya ya temeke bi Sophia Mjema
0 comments:
Post a Comment