Nafasi Ya Matangazo

September 21, 2012

Mapacha watatu Blogger kutoka kulia ni Mroki Mroki "Father Kidevu"  wahttp://mrokim.blogspot.com/ Ahmed Michuzi wa http://michuzijr.blogspot.com/ na John Bukuku wahttp://www.fullshangweblog.com wakionyesha alama ya mapacha watatu katika kiota cha Kalenga Motel and Lodge mjini Iringa, Mapacha watatu tuko mkoani Iringa kwa wiki sasa tukiripoti tukio la Maadhimisho ya wiki ya Nenda kwa usalama Barabarani ambayo imefanyika mkoani Iringa Kitaifa.

Kesho tunagawanyika kidogo ambapo jembe moja Mroki Mroki litabaki hapa Iringa kwa ajili ya Ufungaji wa maadhimisho hayo huku Majembe mawili John Bukuku na Ahmed Michuzi tutaelekea mbeya kwa ajili ya Tamasha la Serengeti Fiesta litakalofanyika mkoani Mbeya kesho na kurejea jumamosi tena mjini Iringa kwa ajili tamasha lingine la Fiesta mjini Iringa siku ya jumapili kisha jumatatu tutarejea jijini Dar es salaam kuendelea na majukumu mengine.
Hapa mapacha watatu wa kishoo love kwa pozi kali na la kujiamini.
Posted by MROKI On Friday, September 21, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo