Kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa Honest Mwanossa akizungumza mara baada ya kukagua miradi ya Zahanati na Bwalo la wanafunzi katika Kata ya Mrangarini wilayani Arumeru, pembeni anayemsikiliza ni Diwani wa Kata hiyo Mathias Manga.
Enzi za Mwalimu Nyerere Mwenge wa Uhuru haikuwa hivi, hapa umati wa watu ungekuwa umetanda barabara nzima lakini angalia hii. Hapa ni Kata ya Ngarenanyiki mahali ambapo Mwenge ulilala kwa wilaya ya Arumeru.
Mkuu wa wilaya ya Arumeru mwenye tracksuit ya Kijani akimkabidhi Mwenge Mkuu wa wilaya ya Longido James Ole Millya makabidhiano hayo yalifanyika eneo la Tingatinga wilayani Longido.
0 comments:
Post a Comment