Nafasi Ya Matangazo

August 09, 2012

 Mbunge wa Jimbo la Temeke, Dar es Salaam, Abbas Mtemvu (kushoto), akiwakabidhi watoto yatima wanaolelewa katika Kituo cha Hiari, msaada wa vyakula, katika hafla ya kutoa msaada wa vyakula kwa vikundi 10 vya kulelea Yatima, Dar es Salaam juzi. Msaada huo ulitolewa na Mfuko wa Mtemvu Foundation. Wa pili kushoto ni mke wa Mtemvu, Mariam. Wa tatu kushoto ni  mtoto wa mbunge huyo,Sitti ambaye pia alitoa sh. 100,000 kwa kila kikundi.
                                   Mtemvu akitoa msaada kwa Kituo cha Faraja
Mtemvu akitoa msaada wa vyakula Kituo cha Upendo.
 Mbunge wa Jimbo la Temeke, Dar es Salaam, Abbas Mtemvu (kushoto), akimkabidhi Msimamizi wa Kituo cha Kulelea Yatima cha Dar Ularqam  msaada wa vyakula, katika hafla ya kutoa msaada wa vyakula kwa vikundi 10 vya kulelea Yatima, Dar es Salaam juzi. Msaada huo ulitolewa na Mfuko wa Mtemvu Foundation. Wa pili kushoto ni mke wa Mtemvu, Mariam. Wa tatu kushoto ni  mtoto wa mbunge huyo, Sitti ambaye pia alitoa sh. 100,000 kwa kila kikundi.
Mbunge wa Jimbo la Temeke, Dar es Salaam, Abbas Mtemvu (kushoto), akiwakabidhi watoto yatima wanaolelewa katika Kituo cha Hiari, msaada wa vyakula, katika hafla ya kutoa msaada wa vyakula kwa vikundi 10 vya kulelea Yatima, Dar es Salaam juzi. Msaada huo ulitolewa na Mfuko wa Mtemvu Foundation. Wa pili kushoto ni mke wa Mtemvu, Mariam. Wa tatu kushoto ni  mtoto wa mbunge huyo, Sitti ambaye pia alitoa sh. 100,000 kwa kila kikundi.
(PICHA NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA
Posted by MROKI On Thursday, August 09, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo