Nafasi Ya Matangazo

August 03, 2012

Msafiri akiwa katika kituo cha Basi jijini Arusha akisubiri usafiri pamoja na watoto wake. Kuchelewa kwa baadhi ya mabasi ya abiria yafanyayo safari kati ya Arusha na mkioa mingine hasa yale yanayoanzia safari zake Mjini Moshi mkoani Kilimanjaro imikuwa ikileta usumbufu mkubwa kwa baadhi ya abiria katika kituo hicho. 

Aidha abiria hao wanalalamikia pia vitendo vya baadhi ya wahudumu ya mabasi hao wanaokatisha tiketi kituoni hapo kwa kuwagombania pindi wafikapo kituoni hapo jambo ambalo linapelekea wao kupoteza mali zao hivyo wanaliomba Jeshi la Polisi Mkoani humo kuhakikisha ulinzi unakuwepo wa kutosha.
Sehemu ya mabasi na daladala zinavyoonekana zikiwa zimeegeshwa kituoni hapo.
Posted by MROKI On Friday, August 03, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo