Wakazi wa Mji wa Tanga toka maeneo mbali mbali wakifatilia moja ya Filamu za Bongo Movie inayofahamika kwa jina la Taxi Driver iliyokuwa ikionyeshwa katika Tamasha la wazi la Filamu kwenye Viwanja vya Tangamano,Tanga.Tamasha hili linadhaminikwa na Kampuni ya Bia Tanzania kupitia kinywaji chake kisicho na Kilevi cha Grand Malt.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment