Nafasi Ya Matangazo

June 29, 2012

 Afisa Udhibiti Ubora wa Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) Dkt. Phares Kinunda, akiwasilisha mada juu ya Majukumu ya waratibu waMfuko wa Bima ya Afya (NHIF) na Mfuko wa afya ya jamii (CHF) kwa mikoa ya Mtwara na Lindi. Mafunzo hayo yamefanyika leo katika Ofisi za NHIF Mtwara.
 Washiriki wa mafunzo wakifuatilia kwa makini Mada iliyokuwa ikitolewa na Afisa Udhibiti Ubora wa Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) Dkt. Phares Kinunda, akiwasilisha mada juu ya Majukumu ya waratibu na dhana ya mifuko ya afya ya Jamii na maboresho ya huduma za matibabu kwa wananchi kupitia fedha za tele kwa tele.
Picha ya pamoja ya washiriki wa Mafunzo hayo na waratibu.
Posted by MROKI On Friday, June 29, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo