Wanafamilia wa TBL wakimuangalia mcheza sarakasi wa kikundi cha Black Texas, wakati akitembea juu ya waya. Mtoto wa moja ya familia ya wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) ambaye hakufahamika jina lake akitoa shoo ya bure katika bonanza la wafanyakazi hao kufurahi pamoja na familia zao, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
June 30, 2012

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment