Hivi ndivyo Dk. Ulimboka alivyokutwa na kituo cha sheria na haki za binadamu baada ya kutolewa kituo cha polisi BUNJU.
Dokta Steven Ulimboka ambaye ni Kiongozi wa Jumuia ya Madaktari Tanzania akiwa ameumia vibaya kutokana na majeraha ya kipigo alichokipata kutoka kwa watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo.
0 comments:
Post a Comment