Nafasi Ya Matangazo

May 04, 2012

SARAH  LUTHER  GELLEGE
1962----2011


Ilikuwa siku,wiki,mwezi na sasa leo mama ni mwaka 1 toka ulipotutoka bila kutarajia tarehe 04th May 2011 saa 12 jioni pale Tumaini Hosp.Upanga.

Kwakweli pengo uliloliacha KAMWE halitazibika. Kimwili haupo nasi lakini tunaamini kiroho tupo pamoja. Tulikupenda sanaaaa mama lakini MUNGU anakupenda zaidi!!

Hatuna la zaidi, zaidi ya kumshukuru sana tu MUNGU kwani neno lako linatufundisha kumshukuru MUNGU kwa kila jambo!

Unakumbukwa sana na wanao Luther(Mtua), Lamson(Ipyana) na Ruth.Pia unakumbukwa sana na dada'ko,kaka'zo,wadogo'ko,wifi'ko,wanao,wajukuu'ko,ndugu,jamaa na marafiki. Pia wateja wako na majirani wanakulilia mpaka kwani wanamiss ucheshi wako na mafundisho'ko n.k.
Bwana alitoa na bwana ametwaa jina lake Lihimidiwa.
Posted by MROKI On Friday, May 04, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo