Nafasi Ya Matangazo

May 09, 2012

 Redds Miss Ukonga 2012, Elizabeth Pretty akipinga mkono p[amoja na mshindi wa pili Mary Chizi (kulia) na mshindi wa tatu Stellah Maurice. Shindano hilo lilifanyika Mei 5, 2012 katika ukumbi wa Wenge Garden ulipo Ukonga Mombasa, jijini Dar es Salaam.
 vimwana wa Redds Miss Ukonga wakicheza ngoma ya ufunguzi.
 warembo wa Redds Miss Ukonga 2012 wakipita jukwaani na vazi la ufukweni
 Washiriki wa Redds Miss Ukonga wakipita jukwaani na bvazi la jioni
Warembo wa Redds Miss Ukonga 2012 ambao wamepata tiketi ya kuingia Redds Miss Ilala 2012 wakiwa katika Picha ya Pamoja na mshindi wa Kitongoji hicho katika shindano lao lililofanyika Mei 5 2012.

Shindano la Miss Ukonga 2012 lilidhaminiwa na Redds Primium Cold, Clouds FM, Father Kidevu Blog, Kiota Jungle, V Mask Logistic, Mambya Insurance, Mamushka Pub & Catering, Hill tech Resort, Mr Mabaga, G Obonyo na Excel Beaut Salon.
Posted by MROKI On Wednesday, May 09, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo