Nafasi Ya Matangazo

April 23, 2012

 Warembo wanmaotarajia kuwania umalkia wa mashindano ya Miss Chang'ombe, wakiwa katika mazoezi ya awali jana kwenye viwanja vya Hoteli ya Lamada, Dar es Salaam.

 Mwalimu wa warembo hao,Vumilia Willbrod akiwaelekeza jinsi ya kusimama walipokuwa wakipiga picha ya pamoja wakati wa mazoezi hayo.
 Mratibu wa mashindano hayo, Thom Chilala (kushoto), akitoa somo kwa baadhi ya warembo watakaoshiriki Miss Chang'ombe.
 Thom Chilala 9kushoto) akiendelea kutoa somo juu ya sheria na taratibu za mashindano hayo
 Mwalimu wa mashindano hayo, Vumilia Willbrod akitoa mawaidha mbalimbali kwa warembo


 Mwalimu Msaidizi wa mashindano hayo, Teddy Chilala (kulia)akitoa maelekezo kwa warembo kuhusu mavazi yanayotakiwa kuvaliwa wakati wa mazoezi
 Mkuu wa Itifaki wa mashindano hayo,Henry Kimwaga 'Kim' akitoa maelezojinsi ya umuhimu kwa warembo hao kuzingatia nidhamu wakati wa mazoezi


                                               Chilala akisisitiza jambo wakati wa mazoezi hayo
Posted by MROKI On Monday, April 23, 2012 1 comment

1 comment:

  1. Hapo sawa.

    Nanona yale mambo yetu yalee yameanza sasa.

    Lakini hizo picha nyingi mbona ulikuwa unatetemeka Kaka? Nini kilikuzuzua? Map*j*?

    Tehe teh tee!

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo