Nafasi Ya Matangazo

April 18, 2012

Rais Kikwete atembelea taasisi ya utafiti wa kilimo na ufugaji

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akijaribu kofia aliyopewa kama zawadi na uongozi wa  taasisi ya utafiti wa kilimo (Brazilian Agriculture Research Enterprise - EMBRAPA) alipoitembelea April 17, 2012 nje kidogo ya jiji la Brasilia.
 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo kuhusu mashine ya kisasa ya kutambua muda wa kumwagilia maji shambani iliyoundwa na  taasisi ya utafiti wa kilimo (Brazilian Agriculture Research Enterprise - EMBRAPA) walipoitembelea April 17, 2012 nje kidogo ya jiji la Brasilia.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake wakipata maelezo kuhusu ukulima wa nyanya wa kisasa katika taasisi ya utafiti wa kilimo (Brazilian Agriculture Research Enterprise - EMBRAPA) walipoitembelea April 17, 2012 nje kidogo ya jiji la Brasilia.

 RAIS JAKAYA KIKWETE MKUTANONI BRASILIA, BRAZIL
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mwenyeji wake Rais wa Brazil Mama Dilma Rousseff alipowasili katika ukumbi wa mikutano wa Brasilia Convention Centre jijini Brasilia, Brazil, April 17, 2012 kuhudhuria mkutano wa Open Government Partnership
(PICHA NA IKULUA)

Ujumbe wa Tanzania kwenye mkutano wa Open Government Partnership ukibadilishana mawazo kabla ya ufunguzi wa mkutano huo katika ukumbi wa mikutano wa Brasilia Convention Centre jijini Brasilia, Brazil, April 17, 2012. kutoka kushoto ni  Waziri katika  ofisi ya Rais (Utawala Bora) Mh  Mathias Chikawe,  Waziri wa kazi na Uwezeshaji Wanachi Kiuchumi na Ushirika wa Zanzibar Mh Haroun Ali Suleiman, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh Mahadhi J. Maalim na Msahuri wa Rais (Masuala ya Siasa) Dkt Laurian Ndumbaro
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa meza kuu na mwenyeji wake Rais wa Brazil Mama Dilma Rousseff  na wajumbe wengine katika ukumbi wa mikutano wa Brasilia Convention Centre jijini Brasilia, Brazil, April 17, 2012 wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Open Government Partnership. Kulia ni Waziri wa mambo ya Nje wa Marekani Bi Hilary Clinton

Wajumbe wa Tanzania kutoka taasisi mbalimbali za kiraia na serikali wakiwa katika  ukumbi wa mikutano wa Brasilia Convention Centre jijini Brasilia, Brazil, April 17, 2012 wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Open Government Partnership.

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika ukumbi wa mikutano wa Brasilia Convention Centre jijini Brasilia, Brazil, April 17, 2012 katika mkutano wa Open Government Partnership 

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Waziri Mkuu wa Georgie Mh Nika Gilauri   katika ukumbi wa mikutano wa Brasilia Convention Centre jijini Brasilia, Brazil, April 17, 2012 baada ya kuhudhuria mkutano wa Open Government Partnership
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na mabalozi wa nchi mbalimbali wakati wa Mchapalo ulioandaliwa na Balozi wa Tanzania nchini Brazil Mh Francis Malambugi nyumbani kwa Balozi usiku wa April 17, 2012 jijini Brasilia, Brazil

Posted by MROKI On Wednesday, April 18, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo