Msanii wa Filamu Elizabeth Michael 'Lulu' akiwa chini ya ulizi wa Askari Magereza hii leo Mahakam ya Hakimu Mkazi Kisutu. Lulu alisomewa tena leo kesi yake na hakutakiwa kijibu chochote kwani mahakama hiyo haisikilizi kesi za Mauajiulu anakabiliwa na tuhuma za mauaji ya Steven Kanumba.
mtoen lulu kwan hajahusika na kifo cha kanumba. kanumba tulimpenda lakin mungu amempenda zaid na sio swala la kuendelea kumshikilia huyo mtoto muachen afanye mambo yake the by gone is the by gone
ReplyDeleteMungu akutangulie mdogo wangu ushinde kesi hii nakuombea sana
ReplyDelete