Mwananchi akiingia maliwatoni kujisaidia kama alivyonaswa na kamera ya FK Blog huko Mkoani Iringa hivi karibuni. Choo hiki licha ya kuwa kimejengwa kwa ukuta imara lakini hakitoa fursa kwa mtumiaji kuwa na amani awapo humo ndani akipata huduma kwakuwa mlango wake ni wa kiroba na kimesha chakaa hicyo kukiacha wazi kwa baazi ya maeneo.
April 25, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment