Raia wa Kigeni kutoka nchi mbalimbali za Ulaya na Amerika wamekuwa wakiingia kwa wingi nchini kwaajili ya kufanya shughuli za utalii. Pichani ni baadhi ya watalii hao wakipita katika mitaa ya mji wa Moshi mkaoni Kilimnanjaro ambako wapo kwa muda kama si kwaajili ya kupanda Mlima Kilimnajaro basi ni kutembelea vivutio lukuki vya utalii tulivyo navyo hapa nchini hasa maeneo ya Kanda ya Kaskazini.
March 08, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




Soko la Kati hapo Moshi mjini
ReplyDelete