Nafasi Ya Matangazo

March 06, 2012

Hatimaye waandishi wa habari wa Iringa waandamana leo wakiwa na madai mengi, ikiwamo kunyimwa posho na kutotendewa haki na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa hasa wakati wa ziara za viongozi. Tembelea www.simonmkina.com kwa picha zaidi. Hii iliwahi kufanyika miaka kadha iliyopita jijini Dar es Salaam.
Posted by MROKI On Tuesday, March 06, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo