Nafasi Ya Matangazo

March 22, 2012

 Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda (Mb) akifungua semina elimishi kwa wajumbe wa tume na kamati ya Uongozi ya Bunge inayoundwa na Wenyeviti na makamu Wenyeviti wa kamati za Kudumu za Bunge. Semina hii imeandaliwa na Bunge kwa lengo la kuwajengea uwezo wajumbe wa kamati ya uongozi. Semina hiyo inafanyika katika Hotel ya White sands Jijini Dar es Salaam
Baadhi ya wajumbe wa Tume na kamati ya Uongozi ya Bunge ambao ni wenyeviti na makamu wenyeviti wa kamati za Bunge wakishiriki semina elimishi kwa wajumbe hao iliandaliwa na Ofisi ya Bunge kwa lengo la kuwajengea Uwezo wajumbe hao kutekeleza majukumu yao.
Posted by MROKI On Thursday, March 22, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo