Nafasi Ya Matangazo

March 19, 2012

Hakuna kazi iliyorahisi na kazi yoyote ni lazima ujitume ili kufanikisha kazi yako na kuifanya iwe yenye kiwango cha juu, hivyo hata kupiga picha kuna kazi ya ziada wakati mwingine unaona kila engo unayotaka kuitumia ili upate picha nzuri haifai, lakini unajaribu kufanya kila linalowezekana ili uweze kufanikisha na kupata kitu kizuri zaidi. 
 
Kama anavyoonekana Mroki Mroki a.k.a Father Kidevu kama anayojulikana kutokana na blogu yake ya http://mrokim.blogspot.com/, hapa alikuwa akipata taswira ya wanafunzi wadogo waliotembelea katika maonyesho ya maadhimisho ya wiki ya maji Mjini Iringa leo, picha lilikuwa hivi.
Picha likiendelea hapa.
Hapa ndiyo kwanza amelala chini na anaanza kufanya vitu vyake hebu mcheki.
 Na hii ndio picha alitafuta na kama ingepigye amesimama isina hivi.
Posted by MROKI On Monday, March 19, 2012 1 comment

1 comment:

  1. neyliciousMarch 20, 2012

    mmmh jaman mimi hoi..safi sana ua gud n commited dat shows ua a gentleman!!luv u

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo