Naibu Waziri wa Ujenzi Dr Harrison Mwakyembe akiongea na waandishi wa habari ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo kuhusiana na maendeleo ya Afya yake nakusema kwamba yeye sasa yuko fiti kiafya, na ameripoti ofisini rasmi leo hii alipoulizwa maswali kutoka kwa waandishi wa habari akasema mambo yote anaichia serikali kupitia tume maalumu iliyoundwa kufutilia suala la ugonjwa wake.
Baadhi ya waandishi wa habari wakijadiliana jambo walipowasili kumsikiliza Dr Mwakyembe leo






0 comments:
Post a Comment