Nafasi Ya Matangazo

March 28, 2012

Wanafunzi wa moja ya shule za Msingi mjini Iringa akiwa amebena karai lililo na Ndizi na Bisi akienda kuziuza kama alivyokutwa na mpigapicha wa FK Blog hivi karibuni mjini humo. Biashara hii haikufahamika mara moja ni yanani kati ya mzazi au mwalimu na je motto huyu awapo darasani ataweza kweli kumsikiliza mwalimu akifundisha au atakuwa akiwaza usalama wa biashara yake na niwakati gani utafika akaweze kuiuza. Ombi kwa wazazi na Walimu wasiwape watoto nafasi ya kufanya biashara hizi shuleni kwani ni moja ya vitu ambavyo vitaaathiri maendeleo yao ya elimu darasani.
Posted by MROKI On Wednesday, March 28, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo