Balozi wa Ireland nchini Tanzania Mhe. Loscan Fullan (kulia) akimsikiliza Brewery Manager wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Colman Hanna akimueleza aina mbalimbali za bia zinazozaliwa katika kiwada cha bia cha serengeti wakati balozo huyo alipotembelea kiwanda hicho Temeke jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Balozi wa Ireland nchini Tanzania Mhe. Loscan Fullan (wapili kulia) Meneja wa Fedha na Biashara wa SBL, John Collins, Brewery Manager wa SBL Colman Hanna, Meneja Mawasiliano wa SBL, Imani Lwinga na Meneja wa Ubora wa SBL, Alloyce Nduka wakionja bia za SBL wakati wa ziara hiyo ya Balozi.
Balozi wa Ireland nchini Tanzania Mhe. Loscan Fullan (kushoto) akitembezwa katika kiwanda na Meneja wa Fedha na Biashara wa SBL, John Collins (kulia) na Brewery Manager wa SBL Colman Hanna.
Balozi wa Ireland nchini Tanzania Mhe. Loscan Fullan (katuikati) akimsikiliza Brewery Manager wa SBL Colman Hanna juu ya hatua mbalimbali za uzalishaji bia SBL. Kulia ni Meneja wa Fedha na Biashara wa SBL, John Collins.
Balozi wa Ireland nchini Tanzania Mhe. Loscan Fullan (kulia) akimsikiliza Brewery Manager wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Colman Hann.
Balozi wa Ireland nchini Tanzania Mhe. Loscan Fullan (kushoto) akitoka baada ya kumaliza ziara hiyo kiwandani hapo. Pamoja nae ni Brewery Manager wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Colman Hanna na Meneja wa Fedha na Biashara wa SBL, John Collins anaeonekana kwa nyuma.
0 comments:
Post a Comment