Nafasi Ya Matangazo

February 02, 2012


Moja ya vijana waosha magari katikati ya jiji la Mbeya akibebwa juu kwa juu mara baada ya kukamatwa na mgambo wa Halmashauri ya jiji imewapiga marufuku vijana hao kuosha magari katikati ya jiji kwani wanachafua barabara na kuwasumbua wenye magari kuwalazimisha kuwapa hela.
Mgambo wa jiji la mbeya wakiwakamata vijana waosha magari, wanaoendesha shughuli zao katikati ya jiji.Picha na Mbeya Yetu Blog
Posted by MROKI On Thursday, February 02, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo