Nafasi Ya Matangazo

February 22, 2012

 Ujenzi wa barabara ya Mwanga – Kikweni – Vuchama, Wilayani Mwanga Mkoani Kilimanajaro,unaofanywa na Kampuni ya  Bona & Hubert unaendelea kushika kasi huku wakandarasi hao hivi sasa wakifanya kazi ya upanuzi wa baadhi ya maeneo pamoja na kumwaga kifusi cha mawe barabarani kabla ya kuweka lami.

Blogu hii imepata fursa ya lupita barajara hiyo na kuona shughuli inayoendelea hivi sasa kiasi cha kufanya barajara hiyo kupitia bila ya matatizo hivi sasa.

Zifuatazo ni picha mbalimbali zilizopigwa katika barajara hiyo…
 Kipande cha vu vumbi kuelekea Kikweni kikiwa kimerekebishwa vizuri na kupitika kiuraisi.
 Moja ya magari yanayobeba abiria kati ya Mwanga na Usangi yakitumia barabara hiyo...
 Kifusi cha mawe kikiwa kimemwagwa njiani kwa ajili ya ujenzi huo wa barabara.
 Mafundi wakiendelea na kazi
 
Kipande ambacho tayari kimewekwa lami kama kinavyoonekana kutokea Mwanga mjini
Posted by MROKI On Wednesday, February 22, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo