Mwanake Mkazi wa mjini Moshi akichoma Maandazi kwa lengo ya kuyauza na kujipatia kipato cha kuendesha maisha yake na familia kwa ujumla. Mama huyu aliyekutwa katika mtaa wa Riadha mjini hapa ni kielelezo tosha cha namna akina mama wengi wa mji wa Moshi wanavyojituma katika kutafuta ridhiki na kuongeza kipato kwa familia na si kubweteka tu na kukaa nyumbani na kusubiri wanaume wawaletee kila kitu. Mara nyingi wito umekuwa ukitolewa wa kuwataka wanawake kujishughulisha kwa miradi midogo na mikubwa katika jamii.
February 24, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment