Nafasi Ya Matangazo

February 29, 2012

Timu ya Taifa ya Tanzania, "Taifa Stars" leo imelazimishwa sare ya 1-1 katika mchezo wa kuwania kufuzu fainali za mataifa ya Afrika Dhidi ya Msumbuji. 
 
Pichani ni Mchezaji Nizar Khalfan wa timu ya Taifa Stars akichuana na mchezaji Frasisco Masinga wa Msumbiji The "Mambas" wakati wa mchezo wao uliofanyika kwenye uwanja wa Taifa. 
goli la Stars lilifungwa na Mwinyi Kazimoto.
Wachezaji wa Msumbiji na Taifa Stars wakiwania mpira wakati wa mchezo wao unaofanyika kwenye uwanja wa Taifa jioni hii.
Wachezaji wa Msunbiji wakishangilia goli lao la kwanza pamoja na mashabiki wao lililofungwa katika kipindi cha kwanza.
Posted by MROKI On Wednesday, February 29, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo