Nafasi Ya Matangazo

January 24, 2012

Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa barabara Dkt, James Wanyancha (kushoto) pamoja na Mhandisi Julius Ngusa kutoka ofisi ya Tanroads (wa pili kulia) wakimsikiliza Mhandisi Ndekumana wa Tanroads(kulia) kuhusu uharibifu wa daraja la Tabata Kinyerezi Mkoani Dar es Salaam lilioharibiwa na mafuriko mwisho wa mwaka 2012.ambalo lipo kwenye ukarabati.
Mwenyeki wa Mfuko wa Bodi ya Barabara James  Wanyancha akitoa maelezo kwa waandishi wa habari (pichani hawapo) kuhusu maendeleo ya ukarabati wa eneo la daraja la Mbezi katika barabara ya Morogoro (Morogoro road (Mbezi) iliyoharibiwa na mafuriko ya mwaka jana,ambapo mfuko wake umetoa fedha za dharua zaidi ya shilingi bilioni tano (5b/-) zilizoombwa za dharura na mkoa wa Dar es salaam kwajili ya kusaidia ukarabati.
mafundi wakiendelelea na ukarabati huko barabara ya morogoro eneo la mbezi.
uharibifu wa mazingira kwenye daraja la boko watu wakiendelea kuchimba mchanga
ukarabati wa eno la daraja la Matosa huko Goba katika wilaya ya Kinondoni mkoa wa Dar es Salaam ambalo Mwenyekiti wa Mfuko wa Bodi ya Barabara Dkt. James  Wanyancha (hayupo pichani ) alikagua maendeleo ya ukarabati.
Posted by MROKI On Tuesday, January 24, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo