Wakiwa na nyuso za furaha bwana harusi Samwel Daniel na mkewe Kaindi Taratibu wakiwa kwenye pozi la picha baada ya kufunga ndoa yao katika ofisi ya mkuu wa wilaya ya Kibaha hivi karibuni na kufuatiwa na sherehe kubwa iliyofanyika katika ukumbi wa Mbezi Luxiry jijini Dar es Salaam.
Bibi Harusi akipita juu ya migongo ya wakwe zake wakati wa kuingia ukumbini ikiwa ni ishara ya kukaribishwa katika familia, kabila la Wayao .
Bw. Harusi akipita juu ya migongo ya wazazi wake wakati wa kuingia ukumbini wakati wa harusi yake iliyofanyika katika ukumbi wa Mbezi Luxiry jijini ,Dar es Salaam,utamaduni huu hufanywa na watu wa Lindi kabila la wayao.
Makaka wa bwana harusi wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa sherehe ya harusi ya mdogo wao .
Bw.harusi Samwel akiwa na mkewe Kaindi wakishuka kutoka katika mlima kilimanjaro uliopo eneo la Mabibo jijini Dar es Salaam, walipokwenda kufanya utalii wa ndani.Baada ya kufunga ndoa yao kwa Mkuu wa Wilaya ya Kibaha Januari 28, 2012.
0 comments:
Post a Comment