
Rais Jakaya Kikwete akipokea mapendekezo ya chama cha NCCR-MAGEUZI kuhusu mchakato wa Katiba toka kwa Mwenyekiti wa chama hicho Mh James Mbatia leo alipokutana na uongozi wa chama hicho Ikulu jijini Dar es salaam



Rais Kikwete akiongea na uongozi wa NCCR-MAGEUZI.

Rais Kikwete akiwaaga baada ya picha ya pamoja

Rais Kikwete akiongea na Mwenyekiti wa NCCR MAGEUZI Mh James Mbatia





0 comments:
Post a Comment