Wakazi wa Jiji la Mwanza wanaojishughulisha na Kilimo cha Mbogamboga wakisafirisha matenga ya Nyanya kwenda sokoni hivi karibuni kama walivyonaswa na mpigapicha wa blogu hii kando kando ya barabara kuu ya Mwanza Musoma. Nyanya ni moja ya mazao muhimu sana katika matumizi ya kila siku majumbani.
0 comments:
Post a Comment