Nafasi Ya Matangazo

December 17, 2011

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Tuzo ya Super Brands, Mkurugenzi Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti, Ephraem Mafuru, wakati wa hafla hiyo ya kukabidhi tuzo hizo kwa Makampuni yaliyofanya vizuri kwa mwaka 2011, iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana Desemba 15. Katikati ni Mkurugenzi wa Superbrands, Jawad Jaffer.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Tuzo ya Super Brands, Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Fm, Joseph Kusaga, wakati wa hafla hiyo ya kukabidhi tuzo hizo kwa Makampuni yaliyofanya vizuri kwa mwaka 2011, iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana Desemba 15. Katikati ni Mkurugenzi wa Superbrands, Jawad Jaffer.
Posted by MROKI On Saturday, December 17, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo