Nafasi Ya Matangazo

December 17, 2011

 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru (katikati) akizungumza wakati wa uzinduzi wa kituo kipya cha huduma kwa wateja cha benki hiyo jijini Dar es Salaam hivikaribuni. Wengine kutoka kushoto waliokaa ni Ofisa  Mwendeshaji Mkuu wa NBC, Maharage Chande, Meneja wa kituo hicho, Ngwitika Mwahesya, Meneja Huduma kwa Wateja, Jane Dogani, Mkurugenzi wa Masoko na Mawasiliano wa NBC, Mwinda Kiula-Mfugale
 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru akikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa kituo kipya cha huduma kwa wateja cha benki hiyo jijini Dar es Salaam hivikaribuni. Kulia ni Meneja Huduma kwa Wateja, Jane Dogani na kushoto ni Meneja wa Kituo hicho, Ngwitika Mwahesya.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru akibonyeza kitufe kuzungumza na mmoja wa wahudumu wa wa kituo kipya cha huduma kwa wateja cha benki hiyo kilipozinduliwa jijini Dar es Salaam hivikaribuni. Kulia ni Meneja Huduma kwa Wateja, Jane Dogani, kushoto ni Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa NBC, Maharage Chande na wapili kulia ni Meneja wa Kituo hicho, Ngwitika Mwahesya.
Baadhi ya wafanyakazi wa NBC wakishuhudia uzinduzi wa kituo kipya cha huduma kwa wateja wa benki yao jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Posted by MROKI On Saturday, December 17, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo