Nafasi Ya Matangazo

December 08, 2011

 Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, kutoka Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma, Zamaradi Kawawa  (kulia) akimwelekeza jambo Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye alipotembelea banda la UTUMISHI lililopo katika maonesho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania bara katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere barabara ya Kilwa.
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma, George Yambesi  (kushoto) akimwelekeza jambo Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye alipotembelea banda la UTUMISHI lililopo katika maonesho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania bara katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere barabara ya Kilwa. 
 Afisa Nyaraka za Taifa  katika Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma, Norbert Cyrille, (kushoto) (kulia) akiwahudumia wakazi wa jiji la Dar es Salaam waliotembelea banda la UTUMISHI lililopo katika maonesho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania bara katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere barabara ya Kilwa
 Mkutubi kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Tumushi wa Umma, Moshi Makuka,(kulia) akiwahudumia wakazi wa jiji la Dar es Salaam waliotembelea banda la UTUMISHI lililopo katika maonesho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania bara katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere barabara ya Kilwa.
 Afisa Utumishi Mwandamizi kutoka Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma, Hassan Rashid Shebuge (kulia) akiwahudumia wakazi wa jiji la Dar es Salaam waliotembelea banda la UTUMISHI lililopo katika maonesho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania bara katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere barabara ya Kilwa. 
 Mshehereshaji katika Banda la Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Seif Mbembe akiwajibika nje ya banda hilo kwa kuwashawishi watu kuingia ndani ya banda hilo na kujipatia huduma mbalimbali.  
Afisa Habari katika Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma, Rehema Mbulalina, (kushoto) (kulia) akiwahudumia wakazi wa jiji la Dar es Salaam waliotembelea banda la UTUMISHI lililopo katika maonesho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania bara katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere barabara ya Kilwa.
Posted by MROKI On Thursday, December 08, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo