
Mpambano huo ulivuta mashabiki wengi katika viwanja vya TCC Sigara ambapo bendi ya Msondo, ilionekana kuwapiku wenzao wa Sikinde kutokana na Shamrashamra zilizokuwa zikitawala wakati Msondo wakiimba jukwaani, Onyesho hilo limefanyika usiku wa kuamkia leo ikiwa ni pamoja na kusherehekea sikukuu ya Krismas.








hakuna lolote upuuzi mtupu mambo yote ngwasuma
ReplyDelete