CHEMSHA BONGO!!!
Kuna motto alikuwa anapita akitoka shuleni, mara akakutana na kundi la ndege haraka haraka akawasalimia
“Salaaam ndege 100!!”, ndege wale wakamjibu
“Hatujafika mia bado labda waje wengine kama sisi, na nusu yetu, na robo yetu na wewe mwenyewe ndio tutafika 100”
Je Ndege wale walikuwa wangapi?
0 comments:
Post a Comment