Ni Miaka kumi sasa tangu umetutoka.Upendo na malezi yako kwetu bado ndio dira inayotuongoza katika maisha yetu yote. Ulikuwa amana ya Mungu kwa familia yetu. Mungu ameichukua amana hiyo kutoka kwetu, kazi ya Mungu haina makosa. Tulikupenda lakini Mungu amekupenda zaidi.
Mke wako Mwanaisha, watoto wako Maryam,Joseph, Winnie, Mwate, Samora, Musa na Bimdo wanakukumbuka na kukuombea sana. Wakwe zako January, Peter, Paul na Grace wanakukumbuka pia. Wajukuu zako Selemani, Adam, Otilia, Sanya, Karen, Frank Jr na Ndugu zako na marafiki zako wanakukumbuka pia.
Innalillaahi wa Innailaihi raajiuum.






Joseph poleni sana ingawa miaka 10 imepita uchungu hauishi uko palepale poleni sana,mimi ni vero nilikuwa central secondary rafiki yake sana na rehema marwa tulimaliza 1986,nilikuwa australia miaka mingi kwa sasa niko ddm.email yangu ni vtaona@gmail.com
ReplyDelete