Ili Kuhamasisha watu kukopa kwa sababu maalum, Bayport kwa njia ya kampeni inayoendelea ya 'sababu 50 maalum za kukupa’ kwa kushirikiana na Clouds FM, wamempatia tuzo mshindi Haridi Bilali kutoka Pugu Dar-es-salaam, kwa machango wake wa sababu 50 bora za kukopa. Haridi Bilali alikopa kwa madhumuni ya kujiendeleza kielimu. Pichani ni mmoja wa wakilishi kutoka Bayport, Immakulatha Ngereza na mshindi wa tuzo hiyo bwana Haridi Bilali.
Posted by MROKI
On Thursday, November 17, 2011
No comments
0 comments:
Post a Comment