Nafasi Ya Matangazo

November 17, 2011

 Mkurugenzi wa MD Digital Company na FK Blog, Mroki Mroki a.k.a Father Kidevu akimjulia hali mama yake mzazi aliyelazwa katika Hospitali ya Mazimbu Mkoani Morogoro kwa matubabu. Bi Mary Nathan ambaye ni mkazi wa Kitongoji cha Kinyenze, Kijiji cha Kipera Wilaya ya Mvomero alifikishwa Hopitalini hapo Jumanne ya wiki hii baada ya kuugua ghafla Malaria na BP. Na sasa hali yake inaendelea kuimarika baada ya juhudi kubwa za Madaktari na wauguzi wa Hospitali hiyo.
Mama akiwa ameketi kitandani huku wakwe zake Mama Mroki (katikati) na Mama Bitwale wakimwandalia kifungua kinywa.
Posted by MROKI On Thursday, November 17, 2011 2 comments

2 comments:

  1. POLE SANA MAMA YETU KIPENZI.

    ReplyDelete
  2. Pole kwa kuuguliwa na tunamtakia mama nafuu ya haraka!

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo